Mwananchi
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG, Charles Kichere imebaini kuwepo kwa uhaba mkubwa wa madaktari wa mazoezi ya viungo na wauguzi katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), hali inayochangia kuchelewa kwa uponyaji wa wagonjwa na kuathiri ubora wa huduma za afya.
Go to News Site