Mwananchi
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amefichua ukiukwaji mkubwa wa taratibu katika usimamizi wa mapato ya umma, baada ya uchunguzi wa ukaguzi kubaini kuwa viwanja 168 vyenye thamani ya Sh4.09 bilioni viliuzwa nje ya mfumo rasmi wa Tausi uliothibitishwa na halmashauri.
Go to News Site