Kauli za wadau, ziara ya Chakwera ikifikisha siku nne | Collector
Mwananchi
Kauli za wadau, ziara ya Chakwera ikifikisha siku nne
Ziara ya Mwakilishi wa Jumuiya ya Madola, Lazarus Chakwera, nchini imefikisha siku ya nne, huku wachambuzi wa siasa wakisema inaonekana amepata imani ya wadau na pengine akakidhi matarajio ya umma.