Mwananchi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kushangazwa na kile kilichokiita kutochukuliwa kwa hatua za haraka na mamlaka husika katika kudhibiti kupanda kwa bei ya mafuta, huku kikisema wanaoumia zaidi ni wananchi.
Go to News Site