HabariLeo
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameipongeza Benki ya CRDB kwa mchango wake mkubwa katika kuwainua wajasiriamali nchini kupitia utoaji wa elimu ya fedha na fursa za mitaji, hatua inayosaidia kukuza uchumi jumuishi na endelevu. The post Sekta za fedha zapongezwa kuwawezesha wanawake kiuchumi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site