Radio Jambo
Anthony Taylor ameteuliwa kuwa referee wa mechi kati ya Man City na Arsenal wikendi hii. Inaripotiwa kwamba The Gunners wamepata jumla ya four red cards huku Man City wakipata namabri sawia ya kadi hizo Taylor akiwa refa katika mechi zao. #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Go to News Site