Mwananchi
Watu wenye ualbino wameiomba Serikali kuongeza bajeti ya huduma za elimu na afya kwa watoto wenye ualbino kuelekea mwaka wa fedha 2026/27, wakitaja sababu ya ombi hilo kuwa ni changamoto wanazokumbana nazo ikiwemo uhaba wa vifaa kinga, upungufu wa huduma za afya ya ngozi na mazingira yasiyo rafiki ya kujifunzia shuleni.
Go to News Site