HabariLeo
DAR ES SALAAM: WAJUMBE wa Baraza la Ushindani Afrika wametakiwa kuja na suluhisho la kupata bidhaa bora kwa bei nafuu kupitia ushindani wa haki na kuleta faida kwa wananchi. Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo alipozungumza na waandishi wa habari katika jukwaa la Ushindani Afrika lililofanyika jana Aprili 13, … The post Wajumbe jukwaa la ushindani wapewa maagizo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site