Wavalia njuga umri wa kuolewa mwanamke usianzie chini ya miaka 18 | Collector
Mwananchi
Wavalia njuga umri wa kuolewa mwanamke usianzie chini ya miaka 18
Mtandao wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania (TECMN), imedhamiria kuhakikisha sheria ya ndoa inabadilika na kuondoa umri wa kuolewa kwa mwanamke kuwa chini ya miaka 18.