Mwananchi
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kuhusu ukaguzi wa mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa mwaka wa fedha 2024/25 imebaini kuwapo kwa upungufu katika udhibiti unaosimamia uendeshaji na usalama wa mifumo hiyo.
Go to News Site