Collector
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kondoa Bernardin Mfumbusa afariki dunia | Collector
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kondoa Bernardin Mfumbusa afariki dunia
Mwananchi

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kondoa Bernardin Mfumbusa afariki dunia

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetangaza kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, Bernardin Francis Mfumbusa, kilichotokea Aprili 14, 2026 majira ya saa 11:45 asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), alipokuwa amelazwa kwa matibabu ya dharura.

Go to News Site