Collector
Mwandishi wa vitabu aiomba Tanzania kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kukifanya Kiswahili lugha ya kufundishia | Collector
Mwandishi wa vitabu aiomba Tanzania kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kukifanya Kiswahili lugha ya kufundishia
Mwananchi

Mwandishi wa vitabu aiomba Tanzania kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kukifanya Kiswahili lugha ya kufundishia

Mwandishi nguli wa vitabu na mshairi, Abdilatif Abdalla ameisihi Serikali ya Tanzania, kwa heshima ya mchango wa Baba wa Taifa, hayati Julius Nyerere, kuangalia upya hatua za kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa chombo rasmi cha kufundishia shuleni, akisisitiza kuwa hatua hiyo inawezekana.

Go to News Site