Collector
Mbunge ataka ‘Internship’ iwe kigezo cha uzoefu katika ajira | Collector
Mbunge ataka ‘Internship’ iwe kigezo cha uzoefu katika ajira
HabariLeo

Mbunge ataka ‘Internship’ iwe kigezo cha uzoefu katika ajira

DODOMA: MBUNGE wa Viti Maalumu, Selina Kingalame ameishauiri serikali kuanzisha Mfumo wa Elimu kwa Vitendo (Internship) kwa kada nyingine za elimu kama ilivyo elimu ya utabibu. Mbunge huyo ametoa kauli hiyo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026 ambapo amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza ugumu wa kupata ajira … The post Mbunge ataka ‘Internship’ iwe kigezo cha uzoefu katika ajira first appeared on HabariLeo .

Go to News Site