HabariLeo
DODOMA: Serikali imeeleza kuwa inaendelea kujenga shule za sekondari katika kata mbalimbali nchini ili kuwapunguzia umbali wanafunzi kote nchini wakiwemo wa Wilaya ya Kisarawe. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Festo Dugange wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo aliyehoji ni lini Serikali itatenga fedha za ujenzi … The post Wanafunzi wa Nyani, Mafizi watengewa milioni 68 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site