Collector
Serikali yatoa Bilioni 4.2 kwa ajili ya uendeshaji Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere | Collector
Serikali yatoa Bilioni 4.2 kwa ajili ya uendeshaji Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere
bongo5.com

Serikali yatoa Bilioni 4.2 kwa ajili ya uendeshaji Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Carolyne Nombo amesema kuwa hadi kufikia mwaka huu wa fedha 2025/2026 Serikali imetenga kiasi cha Bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka minne ili kuendeleza Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu. Nombo ameyasema hayo jana wakati wa hafla ya utoaji tuzo hiyo jijini Dar es …

Go to News Site