Tanzania ilivyoshiriki mkutano wa 59 idadi ya watu kukuza maendeleo | Collector
Mwananchi
Tanzania ilivyoshiriki mkutano wa 59 idadi ya watu kukuza maendeleo
Waziri wa Afya wa Tanzania, Mohamed Mchengerwa amesema matumizi sahihi ya teknolojia na utafiti yana nafasi kubwa katika kushughulikia changamoto za idadi ya watu na kuharakisha maendeleo endelevu.