Collector
Askofu Mfumbusa afariki, TEC yaelezea mchango wake | Collector
Askofu Mfumbusa afariki, TEC yaelezea mchango wake
Mwananchi

Askofu Mfumbusa afariki, TEC yaelezea mchango wake

Kufuatia kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, Bernardin Mfumbusa, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema kiongozi huyo ameitendea haki taaluma yake ya mawasiliano na kukuza waandishi wengi nchini.

Go to News Site