Collector
Mahakama yaamuru muosha magari kulipa fedha aliyoiba alipokuwa akiosha gari | Collector
Mahakama yaamuru muosha magari kulipa fedha aliyoiba alipokuwa akiosha gari
Mwananchi

Mahakama yaamuru muosha magari kulipa fedha aliyoiba alipokuwa akiosha gari

Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemhukumu muosha magari, John Mpali (35), kifungo cha nje cha miezi miwili, baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa fedha taslimu Sh110,000 ziizokuwa ndani ya gari, mali ya Mohamed Ango.

Go to News Site