Mwananchi
Naibu Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula amewaomba Watanzania kuwa na imani na wakaguzi wa fedha kwa sababu ni watu waliosomea taaluma hiyo na wanajua nini cha kufanya wanapokuwa kwenye jukumu la kukagua fedha zinazotolewa na Serikali.
Go to News Site