Collector
Wataalamu wasio na sifa tishio sekta ya mipango miji | Collector
Wataalamu wasio na sifa tishio sekta ya mipango miji
Mwananchi

Wataalamu wasio na sifa tishio sekta ya mipango miji

Serikali imeonya kuwa ukuaji wa miji usioendana na mipango bora umechangia zaidi ya asilimia 67.9 ya makazi kujengwa katika maeneo yasiyopangwa, hali inayosababisha changamoto za miundombinu duni, huduma hafifu za kijamii na uvamizi wa maeneo ya wazi.

Go to News Site