Collector
Kigwangalla asimulia maisha yalivyo bila cheo | Collector
Kigwangalla asimulia maisha yalivyo bila cheo
Mwananchi

Kigwangalla asimulia maisha yalivyo bila cheo

Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema tofauti kati ya kuwa na mamlaka na kukosa ni kubwa, akieleza kuwa pamoja na nguvu, fursa, heshima na mtandao mpana wa marafiki vinavyokuja na cheo, hali hubadilika mara tu mamlaka yanapoondoka.

Go to News Site