JWTZ yatangaza fursa kwa vijana kuanzia kidato cha nne | Collector
Mwananchi
JWTZ yatangaza fursa kwa vijana kuanzia kidato cha nne
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, vijana Watanzania na wenye nia ya kuandikishwa wanatakiwa kuwa raia wa kuzaliwa wa Tanzania, umri wa miaka 25 kwa wenye elimu ya kidato cha nne na sita.