Collector
Wakazi wa Mtwara kunufaika na huduma za kidigitali na kifedha kupitia duka jipya la Yas | Collector
Wakazi wa Mtwara kunufaika na huduma za kidigitali na kifedha kupitia duka jipya la Yas
Swahili Times

Wakazi wa Mtwara kunufaika na huduma za kidigitali na kifedha kupitia duka jipya la Yas

Wakazi wa Mtwara na maeneo ya jirani wanatarajiwa kunufaika na upatikanaji rahisi na wa haraka wa huduma za mawasiliano na kifedha kufuatia uzinduzi wa duka jipya la Yas, hatua itakayorahisisha miamala ya kila siku, kuimarisha biashara ndogondogo, na kuongeza ushiriki katika uchumi wa kidijitali. Uzinduzi huo umefanywa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Donald Msengi na ni sehemu ya mkakati wa Yas kupanua huduma zake kote nchini ili kuhakikisha Watanzania wengi zaidi wanapata huduma za kidijitali karibu nao. Hatua hii inatarajiwa kuwa na manufaa makubwa kwa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo wafanyabiashara wadogo, wavuvi, wakulima na vijana, ambao […] The post Wakazi wa Mtwara kunufaika na huduma za kidigitali na kifedha kupitia duka jipya la Yas appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site