Collector
Maonyesho ya vichekesho ya lugha ya Kiingereza na Kiswahili Kuonesha utofauti | Collector
Maonyesho ya vichekesho ya lugha ya Kiingereza na Kiswahili Kuonesha utofauti
bongo5.com

Maonyesho ya vichekesho ya lugha ya Kiingereza na Kiswahili Kuonesha utofauti

Punchline Africa imetangaza rasmi uzinduzi wa Punchline International Comedy Festival PICF 2026, tamasha la kimataifa la vichekesho litakalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 25 Mei hadi 1 Juni 2026 Tamasha hili litawakutanisha wachekeshaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika kwa kipindi cha wiki moja, likijumuisha maonesho mbalimbali, shughuli za vyombo vya habari, pamoja na ubadilishanaji …

Go to News Site