Collector
Chongolo atoa Sh10 milioni kwa madereva bodaboda Makambako | Collector
Chongolo atoa Sh10 milioni kwa madereva bodaboda Makambako
Mwananchi

Chongolo atoa Sh10 milioni kwa madereva bodaboda Makambako

Katika jitihada za kukabiliana na mikataba kandamizi inayowakandamiza madereva bodaboda, Mbunge wa Makambako na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo ametoa msaada wa Sh10 milioni kwa umoja wa madereva hao ili kuwawezesha kujikomboa kiuchumi.

Go to News Site