Sekta binafsi walilia riba ya tarakimu moja | Collector
Mwananchi
Sekta binafsi walilia riba ya tarakimu moja
Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Ngwisa Mpembe ameiomba Serikali kuwapunguzia viwango vya riba ili kuiinua sekta hiyo na kukuza uchumi wa Taifa.