Collector
SMZ kuimarisha upatikanaji dawa kwa asilimia 100 | Collector
SMZ kuimarisha upatikanaji dawa kwa asilimia 100
Mwananchi

SMZ kuimarisha upatikanaji dawa kwa asilimia 100

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inaendelea kuchukua hatua mathubuti kufanya mageuzi makubwa ya sekta ya afya ikiwa ni pamoja na kuongeza bajeti ya dawa, ili kuondoa changamoto ya wananchi kukosa huduma hizo wanapokwenda katika vituo vya afya.

Go to News Site