Watuhumiwa 53 wakamatwa na Polisi Iringa | Collector
Mwananchi
Watuhumiwa 53 wakamatwa na Polisi Iringa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewakamata watuhumiwa 53 wanaodaiwa kujihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu, kufuatia operesheni maalumu iliyoanza Aprili 1, 2026.