Collector
Vijiji 66 Kigoma vyaungwa gridi ya taifa | Collector
Vijiji 66 Kigoma vyaungwa gridi ya taifa
HabariLeo

Vijiji 66 Kigoma vyaungwa gridi ya taifa

KIGOMA: Jumla ya kaya 1800 katika vijiji 66 mkoani Kigoma zimeunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa kupitia mpango wa umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vjijini (REA) ikiwa ni kutekeleza mpango wa serikali wa kuinua uchumi wa wananchi vijijini. Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni Tanzu ya TANESCO inayojishughulisha na ujenzi, ukarabati na uwekaji … The post Vijiji 66 Kigoma vyaungwa gridi ya taifa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site