HabariLeo
DODOMA: Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa (UWT), Mary Chatanda ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Hospitali Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amesema kuwa ataendelea kutoa mchango wake wa kitaalamu na wakiuongozi katika kuhakikisha huduma za afya mkoani humo zinazidi kuimarika kwa manufaa ya wananchi wote. Chatanda ameyasema hapo aliposhiriki kikao cha Bodi … The post Chatanda aahidi mchango wake sekta ya afya first appeared on HabariLeo .
Go to News Site