Wizara tatu kutafuta tiba migogoro ardhi | Collector
Mwananchi
Wizara tatu kutafuta tiba migogoro ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amesema tayari wizara hiyo kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za Serikali wameshaanza vikao vya kutafuta dawa ya migogoro ya ardhi.