Mwananchi
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Patrick Kipangula amesema bodi hiyo itaanza kupita mkoa hadi mkoa kufanya ukaguzi kwa waandishi wa habari wanaofanya kazi bila kuthibitishwa na bodi hiyo.
Go to News Site