Collector
Tamisemi yatangaza mkakati ukarabati shule zote chakavu | Collector
Tamisemi yatangaza mkakati ukarabati shule zote chakavu
Mwananchi

Tamisemi yatangaza mkakati ukarabati shule zote chakavu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amesema Serikali ipo katika mchakato wa kuandaa andiko la mradi wa ‘Sifa’ utakaokarabati shule zote chakavu za awali, sekondari, msingi na kongwe.

Go to News Site