Mwigulu ahitimisha bajeti ofisi yake, kuhusu mafuta kimya kinene | Collector
Mwananchi
Mwigulu ahitimisha bajeti ofisi yake, kuhusu mafuta kimya kinene
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2026/27, huku suala la bei ya mafuta likiwa si miongoni mwa mambo yaliyopata jawabu.