Collector
Wizara yatakiwa kunufaika uzoefu wa mabalozi wastaafu | Collector
Wizara yatakiwa kunufaika uzoefu wa mabalozi wastaafu
HabariLeo

Wizara yatakiwa kunufaika uzoefu wa mabalozi wastaafu

DAR ES SALAAM: Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka kwa mabalozi wastaafu katika utekelezaji wa mipango mbalimbali ya kuimarisha diplomasia ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo wakati akifungua kikao … The post Wizara yatakiwa kunufaika uzoefu wa mabalozi wastaafu first appeared on HabariLeo .

Go to News Site