Collector
Nmapenda Zaylisah akinipigia tu nachoropoka – Dulla Makabila | Collector
Nmapenda Zaylisah akinipigia tu nachoropoka – Dulla Makabila
bongo5.com

Nmapenda Zaylisah akinipigia tu nachoropoka – Dulla Makabila

Kwenye Mahojiano yake na @el_mando_tz @dullamakabila ameeleza namna Zaylisa alivyomfanya akalia mbele ya Hotuba ya Makamu wa Rais Dodoma. Anasema bado anampenda sana Zaylisah na hata akitaka warudiane leo yupo Tayari na ataachana na mwanamke aliyenae. Anaongeza Namba yake ya Simu bado anayo hajaofuta na hajali yote aliyomfanyia. Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive …

Go to News Site