Collector
Nawaroga sana wasanii wenzangu wanaziba riski sana – Dulla Makabila | Collector
Nawaroga sana wasanii wenzangu wanaziba riski sana – Dulla Makabila
bongo5.com

Nawaroga sana wasanii wenzangu wanaziba riski sana – Dulla Makabila

Kwenye Podcast ya B4THEFAME na @el_mando_tz @dullamakabila amesimulia anavyowaloga wasanii wenzake pale wanapomzibia rizki lake. Adai ana Waganga 28 Dar Es Salaam wapo watano na karibi kila mkoa ana Mganga. Mahojiano yote yapo YouTube ya Bongofive

Go to News Site