Collector
Serikali yataja mbinu kuondoa migogoro kazini | Collector
Serikali yataja mbinu kuondoa migogoro kazini
HabariLeo

Serikali yataja mbinu kuondoa migogoro kazini

MOROGORO: SERIKALI kupitia Ofisi ya Kamishna wa kazi imevitaka vyama vya wafanyakazi nchini kufanya maamuzi muhimu kwa njia ya ushirikishaji kwa wananchama wao ili kuondokana na migogoro isiyo ya lazima. Kamishna wa kazi Msaidizi ,Emmanuel Mweta amesema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa 32 wa Baraza kuu la Chama cha Wafanyakazi Viwanda, Biashara, Taasisi za … The post Serikali yataja mbinu kuondoa migogoro kazini first appeared on HabariLeo .

Go to News Site