Collector
MCL yaipeleka Rising Woman Zanzibar, Nchimbi asema... | Collector
MCL yaipeleka Rising Woman Zanzibar, Nchimbi asema...
Mwananchi

MCL yaipeleka Rising Woman Zanzibar, Nchimbi asema...

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imezindua rasmi Jukwaa la The Citizen Rising Woman visiwani Zanzibar, ikiweka msisitizo kuwa uwezeshaji wa wanawake si suala la kijamii pekee bali ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi wa Taifa.

Go to News Site