bongo5.com
Kwenye Mahojiano yake na @el_mando_tz kupitia B4THEFAME @dullamakabila amejibu kuhusu kutokuwa karibu tena na @diamondplatnumz haliyakuwa alikuwaga rafiki yake. Anasema hata yeye alishangaa ghafla ukaribu wao unapungua hajui sababu ni nini, mbali na hilo Dulla amejibu kuhusu Kauli ya D Voice kuhusu wasanii wa Singeli. Mahojiano yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive
Go to News Site