Collector
Wajasiriamali Mbarali waiomba Serikali kuboresha barabara Igawa–Rujewa | Collector
Wajasiriamali Mbarali waiomba Serikali kuboresha barabara Igawa–Rujewa
Mwananchi

Wajasiriamali Mbarali waiomba Serikali kuboresha barabara Igawa–Rujewa

Wajasiriamali wa Soko la Rujewa wilayani Mbarali wameiomba Serikali kuharakisha maboresho ya miundombinu ya Barabara ya Igawa–Rujewa wakieleza kuwa hali yake imekuwa kikwazo kikubwa kwa ukuaji wa biashara na uchumi wa eneo hilo.

Go to News Site