Collector
Prof. Mkumbo ataja mambo 6 kufikia Dira 2050 | Collector
Prof. Mkumbo ataja mambo 6 kufikia Dira 2050
HabariLeo

Prof. Mkumbo ataja mambo 6 kufikia Dira 2050

DODOMA:WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo, ameweka wazi mambo sita ya msingi ambayo Taifa linapaswa kuyazingatia ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, akisisitiza matumizi ya mitaji na teknolojia, ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi, pamoja na kujenga utamaduni wa kufanya maamuzi ya vitendo. … The post Prof. Mkumbo ataja mambo 6 kufikia Dira 2050 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site