Collector
Wananchi wataka nembo ya BoT kwenye fomu za mikopo kudhibiti ‘mikopo umiza’ | Collector
Wananchi wataka nembo ya BoT kwenye fomu za mikopo kudhibiti ‘mikopo umiza’
Mwananchi

Wananchi wataka nembo ya BoT kwenye fomu za mikopo kudhibiti ‘mikopo umiza’

Wakati malalamiko ya wananchi kuumizwa na mikopo isiyo rasmi yakiongezeka, wakazi wa Wilaya ya Magu wamependekeza hatua mpya ya udhibiti, wakishauri fomu zote za mikopo ziwe na nembo ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuwatambua wakopeshaji halali na kupunguza udanganyifu.

Go to News Site