Collector
IGP Wambura aeleza maboresho vituo vya afya vya polisi | Collector
IGP Wambura aeleza maboresho vituo vya afya vya polisi
Mwananchi

IGP Wambura aeleza maboresho vituo vya afya vya polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amesema vituo vya afya vya polisi vitaendelea kuboreshwa katika eneo la miundombinu, vifaa tiba na kuwekeza katika rasilimali watu ikiwemo kuajiri wataalamu wapya wa afya, ili vituo hivyo viweze kutoa huduma bora kwa askari na jamii inayozunguka vituo hivyo.

Go to News Site