Collector
Watu 61 mbaroni kwa tuhuma ya kuvunja sheria | Collector
Watu 61 mbaroni kwa tuhuma ya kuvunja sheria
Mwananchi

Watu 61 mbaroni kwa tuhuma ya kuvunja sheria

Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu 61 kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya, kukiuka masharti ya leseni za biashara, pamoja na kupatikana na dhana haramu za uvuvi katika Wilaya za Ilemela na Ukerewe.

Go to News Site