Mwananchi
Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa tisa, wanaokabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ya Sh5.7 bilioni, umeieleza mahakama kuwa ipo katika hatua za mwisho kukamilisha majadiliano ya kuimaliza kesi hiyo.
Go to News Site