Mwananchi
Wananchi wa Jiji la Arusha wameilalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa daladala kukatisha safari, wakisema inaongeza gharama za usafiri na kuwaumiza kiuchumi, hasa katika kipindi ambacho nauli zimepanda bila mwongozo rasmi.
Go to News Site