Mwananchi
Uongozi wa Manispaa ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani umewapongeza walimu wa shule za msingi na sekondari kufuatia kupanda kwa kiwango cha ufaulu katika mitihani ya kitaifa ya mwaka 2025, hatua iliyoambatana na utoaji wa tuzo kwa walimu waliofanya vizuri.
Go to News Site