Dk Kigwangalla kuwania ubunge au urais 2030? | Collector
Mwananchi
Dk Kigwangalla kuwania ubunge au urais 2030?
Mwanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hamisi Kigwangalla, alisema uamuzi wake wa kurejea kuwania nafasi za kisiasa utategemea wito na mahitaji ya wananchi na Taifa.