Collector
KONA YA MSTAAFU: Nchi inahitaji kuwa na tuzo ya wazee | Collector
KONA YA MSTAAFU: Nchi inahitaji kuwa na tuzo ya wazee
Mwananchi

KONA YA MSTAAFU: Nchi inahitaji kuwa na tuzo ya wazee

Nina wazo. toka pale tulipopata uhuru wetu kutoka kwa waliokuwa wanatutawala, Desemba 9, 1961, miaka 65 iliyopita, tuna wazee wetu ambao mpaka Ijumaa ya leo Mungu wetu mwema amewajalia wako hai japo wako katika ile hali anayosema Mungu mwenyewe kuwa ni wakati wa kuambiwa "twende huku na unakwenda tu" bila kubisha maana umechoka.

Go to News Site